|
Waziri wa Ujenzi Mh.
Dkt. John Magufuli (kushoto) leo amekutana na Waziri wa Uchukuzi kutoka
Malawi Mh.Sidik Mia (wapili pichani kutoka kulia) pamoja na Ujumbe wake jijini
Dar es Salaam, (katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbet
Mrango.
|
|
Waziri wa Ujenzi Mh.
Dkt, John Magufuli (alienyanyua mkono) akiongea na ujumbe kutoka Malawi
alipokutana nao leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri waUjenzi Mh. Dkt.
john Magufuli (kushoto) akimkabidhi nyaraka Waziri wa Uchukuzi wa Malawi
Mh. Sidik Mia (kulia) leo jinini Dar es Salaam,walipokutana na kuzungumza
masuala mbalimbali yakiwemo kuimarisha ushirikiano katika nyaja za usafirishaji
.(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert Mrango.
|
|
Waziri wa Ujenzi
Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiaagana na Waziri wa Usafirishaji
kutoka Malawi (kulia) Mh. Sidik Mia pamoja na baadhi ya ujumbe wake baada ya
kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam,(katikati mwenye tai
nyekundu) ni Waziri wa Nishati wa Malawi Mh. Ibrahim Matola.
|
(Picha zote na Mwanakombo Jumaa)
No comments:
Post a Comment