Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 3, 2013

EXCLUSIVEEE::NYIMBO MAALUMU KWA AJILI YA FIESTA 2013 HII HAPA,NEW AUDIO: "NOMA SAANA" FEAT. ADAM MCHOMVU, SUKA, GOSSIP COP, BABUU WA KITAA, WADIDADIDAAH RAY & SHADEE

"Hii ndo ile ngoma special for Serengeti Fiesta 2013, Burudani zilizoanzia kule mwisho wa reli Kigoma 89.3 huku jukwaa likishmbuliwa na wasanii mbalimbali ktoka Tanzania.Ijumaa 4 Octoba 2013 ni pande za 96.0 Tanga na Jumamosi 5 October ni 87.9 Moshi... Isikilize hii ngoma ambayo imeshirkisha party animals wa mjengoni Clouds Media Group ngoma inaitwa "Noma Saana" ndani yuko SOudy Brown The Gossip Cop, Adam Mchomvu Baba Jonii, Wadidadidaaah Ray Mshana,Shadeee Vuvuzela, Suka Na Babuu Wa Kitaa" Producer ni yule yule monster, animal, beaast wa beats kutoka Clouds Media Group Tha Man Himself tailored the beat "Kamal" Take ya time and listen "Srengeti Fiesta 2013 Noma Saana" #TURNUP

No comments:

Post a Comment