Msanii mahiri
wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond Platinumz"akimkabidhi
Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya
Ngololo Bw.Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa
Vodacom Tanzania,mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la
miito ya simu.Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000.Anaeshuhudia
katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe,
Chanzo Matina Nkurlu
Mshindi
wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia Ipad kwa kutuma video
katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,akionesha
Ipad yake kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)aliejishindia na
kukabidhiwa rasmi na Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu
Abdul "Diamond Platinum"(kulia)wakati wa droo ya tatu ya shindano la
miito ya simu,ambapo washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh
50,000.katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew
Kampambe.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond
Platinum"(kushoto)pamoja na Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom
Bw.Mathew Kampambe,(kulia)wakionyeshwa kurasa mbalimbali za Ipad na
mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia mara baada ya
kutuma video yake katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom
Tanzania,na kukabidhiwa rasmi na msanii huyo baada ya kumalizika kwa
droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Jumla ya washindi 35 kila
mmoja wamejishindia Sh 50,000.
No comments:
Post a Comment