Kwa wale walioomba nafasi za kazi katika taasisi na ofisi mbalimbali za uma
na wakafanyiwa usaili majina yao yapo ktk Mtandao Tayari, kuona majina ya
waliochaguliwa fuata Link hii
CG MWENDA APITA MLANGO KWA MLANGO KUZUNGUMZA NA WALIPAKODI IGUNGA
-
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda
akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita
mlang...
5 hours ago