Hii
itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika
kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana
zaidi ya followers milioni 40 lakini
Vanessa Mdee ameingia kwenye list ya
watu laki sita ambao Rais Barrack Obama ana wa-follow sasa hivi ambapo
baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha Vanessa alishare kwenye
instagram screenshot ya ukurasa wake wa twitter ukionyesha Barack Obama
ameanza kum-follow.
Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais Obama.
No comments:
Post a Comment