Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 30, 2013

MSHIRIKI TOKA TANZANIA"HISIA" AENDELEA KUPETA NDANI YA PROJECT FAME,AENDELEA KUBAKI KWENYE MASHINDANO BAADA YA KUPATA KURA NYINGI.

 Mshiriki toka Tanzania anayetuwakilisha kwenye mashindano ya Tusker project fame amefanikiwa kusonga mbele kwa mara nyingine baada ya kuwa kikaangoni  yeye pamoja na washiriki wenzake wote ndani ya Tusker project fame.Waliotoka wiki hiii ni Phiona toka Rwanda na Kojjo kutoka Uganda.Hongera hisia Tanzania Gooooooooooooooooo Goooooooo



No comments:

Post a Comment