TAXI
inayoegeshwa eneo la Posta mjini Iringa imegongwa vibaya eneo la
Idara ya maji mjini Iringa usiku huu na watu kadhaa kunusurika kifo
ajali hiyo imetokea mida ya saa 2.30 usiku huu hakuna aliyepoteza
maisha zaidi ya mfanyakazi wa kituo cha mafuta cha Gapco mshindo
kujeruhiwa
Hili ndilo gari lililosababisha ajali katika barabara kuu ya Iringa - Dodoma
No comments:
Post a Comment