Tuna Kula Ujana ni wimbo mpya wa Ney Wa Mitego wenye ujumbe tofauti na nyimbo zake mbili za awali kwani hapa kaimba maisha tofauti ya vijana wa mjini na wanavyo ishi. Ney yuko busy akitangaza wimbo huo na sasa promo ipo Kenya.
Team Kula Ujana inazidi kuongezeka sasa star Jaguar anakula ujana na Ney Wa Mitego.
No comments:
Post a Comment