Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 26, 2013

TAZAMA PICHA JINSI MSANII STEVE RNB ALIVYOMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE


Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake.
steve rnb engaged 2
Rumour has it kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa.
CREDIT : VIBE.CO.TZ
 

No comments:

Post a Comment