Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa
Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(Photos by Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment