Rais
DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa
Afrika linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano
anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba
25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni
mwenyekiti wa Jopo hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza
upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya
kufanya hivyo hivi karibuni huko Blantyre.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment