Pages

Monday, November 4, 2013

RAIS KIKWETE AAGA MWILI WA JAJI HILARY MKATE

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam

Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu
Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment