Mkurugenzi
wa mashindano wa TFF Saidi kawemba amesema ‘tumekubaliana kabisa kwamba
kila mtu ataleta timu yake ya kwanza na kushindwa kufanya hivyo kuna
adhabu zake tumekubaliana, wakati huu tunaamini kila club inafanya
jitihada za kusajili na kuleta vifaa vyake vinavyoaminika kuwa vizuri,
tunasubiri hiyo December 21 tuone’

No comments:
Post a Comment