m
Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema kituo cha kuuzia mafuta cha victoria petrol station kinaungua mda huu,habari za haraka inasemeka nyuma ya kituo hiko kuna moto unawaka na zimamoto washafika eneo la tukio kusaidia kuzima moto huo,habari kamili itakujia
No comments:
Post a Comment