![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1512792_647200528675355_1796336104_n.jpg)
Naibu
Katibu Mkuu CCM Mh:Mwigulu Nchemba akitoa pole kwa Baba Mzazi wa
Marehemu Zainab Buzohera aliyefariki Nchini Marekani wiki iliyopita.
Wakati wa Uhai wake Marehemu alikuwa Kada mtiifu wa Chama cha
Mapinduzi na alifariki siku ya Jumamosi Jan 4, 2014 katika hospitali ya
Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland nchini Marekani.
![](https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc3/1175477_647200558675352_981154957_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/t1/1477432_647198928675515_1902517514_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn2/1506501_647199128675495_1699424304_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/1522070_647200452008696_1043543896_n.jpg)
Naibu
Katibu Mkuu Mh:Mwigulu Nchemba akitoa Pole kwa Mama mzazi wa Marehemu
Zainab Buzohera alipokwenda kuhani Msiba Nyumbani Kwake Ukonga Banana
hii Leo.
![](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/1174576_647195568675851_462162129_n.jpg)
Mh:Mwigulu nchemba akitoa Mkono wa Pole kwa Bibi wa Marehemu Zainabu Buzohera.
![](https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/71430_647200492008692_869005097_n.jpg)
Baba
Mzazi wa Marehemu Zainabu Buzohera akibadilisha mawazo na Naibu Katibu
Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Nchemba.Naibu katibu Mkuu
alifahamiana na Marehemu Zainabu Buzohera wakati wa ziara ya Kichama
kufungua Matawi Majimbo matano Nchini Marekani(Calfonia,Chicago,North
Carolina,Mid West n,k) walishirikiana kwa Ukaribu sana Kuimarisha chama
cha Mapinduzi kwa Upande wa Diaspora.
Mungu aipumzishe Roho Ya Marehemu Mahali Pema Peponi
AMINA
No comments:
Post a Comment