Familia
ya Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Muleba ,Iringa
na Njombe ,ndugu John Pantaleon Mbonde wa Ilala Sharif Shamba Dar es
Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Anna Mbonde.
Marehemu alifikwa na mauti tarehe 5/1/2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
alikokuwa amelazwa. Marehemu
alisumbuliwa
na ugonjwa wa seli mundu (yaani sickle
cell disease) pia alikuwa na matatizo ya figo kwa muda wa mwaka mmoja
uliopita. Mazishi yalifanyika juzi 7/1/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni.Familia
inatoa shukrani za dhati kwa wote waliojitokeza katika shughuli nzima ya
mazishi.
RAIS SAMIA KUKABIDHI ZAWADI KWA WALIPAKODI BORA 1228 JANUARI, 23.2025
-
Jumla ya Walipakodi 1228 kutoka kona zote za Tanzania, wanatarajia
kukabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.
Samia Suluhu H...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment