Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo
Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo
wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika
kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha
Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin,
akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki
(EACO) Hodge Semakula.
Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo
Februari 10, 2014 juu ya kukamilika kwa maandalizi ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika
kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha
Tanzania. Kulia ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin.
Mkurugenzi
wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib
Gunze akifafanua zaidi juu ya Kongamano hilo 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
Katibu Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO)
Prof. Tim Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya
kukamilika
kwa maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14, 2014 katika
hoteli ya Naura Spring Arusha.Kushoto ni Habbib Gunze, Mkurugenzi wa
Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Kulia ni
Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki (EACO), Hodge
Semakula.
Katibu
Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO) Prof. Tim
Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya kukamilika kwa
maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14, 2014 katika hoteli
ya Naura Spring Arusha.
Viongozi TCRA, CTO na EACO wakizungumza na wanahabari
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wanahabari na maofisa wa TCRA wakiwa katika mkutano huo.
Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki (EACO), Hodge
Semakula akielezea zoezi la uhamaji kutoka mfumo wa Analojia kwenda
Dijitali kwa nchi za Afrika Mashariki hasa Tanzania ulivyofanikiwa.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
No comments:
Post a Comment