Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalokuwa likitinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
MSIGWA AAGIZA NYARAKA MUHIMU ZA UANZISHWAJI WA BODI YA ITHIBATI YA
WAANDISHI WA HABARI ZIKAMILISHWE HARAKA
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji
Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Bodi ya ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment