Pages

Thursday, March 27, 2014

RIDHIWANI UMEONA MWENYEWE JINSI HII BARABARA YA KIRUMBI(CHALINZE)ILIVYO MBOVU,TUNASUBILI UTEKELEZAJI


Hii ndiyo hali halisi msafara wa viongozi hao ukielekea kijiji cha Kirumbi kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo.
 
Moja ya magari tuliyotumia likipita katika madimbwi makubwa.  
Gari hili likiwa limekwama na likisukumwa ili kunasua katika dimbwi la matope.
Ukaguzi wa barabara ukifanyika kabla ya kupita.

 
Juhudi zikifanyika kunasua gari lililokwama. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita akipita na gari lake katika madimbwi.
17

Hapa mambo yamekaa sawa tunakunja vifaa na kunang'oa nanga.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIBINDU-CHALINZE)

No comments:

Post a Comment