Pages

Thursday, April 24, 2014

CCM MEATU YAZOA VIONGOZI WA CHADEMA

  • Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema 
  • Lugaila Madama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Mwandoya arudi CCM
  • Miyeye Robert aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kata ya Kisesa arudi CCM
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.
Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.
 Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya Itilima Ndugu Njalu Silanga (wa katikati) akiwa pamoja na viongozi wa Chama wilaya ya Meatu.

No comments:

Post a Comment