Kabla
haijasahaulika namna alivyoweka historia katika tuzo za KTMA 2014 kwa
kuondoka na tuzo 7, Diamond ameandika historia nyingine kwa kuwa msanii
wa kwanza Tanzania kuteuliwa katika tuzo za BET zinazotolewa na kituo
cha Black Entertainment Television cha nchini Marekani. Diamond ameingia
kwenye kipengele cha msanii bora wa kimataifa Africa.
Pongezi
sana kwa Diamond na tunaamini mashabiki wote wa muziki nchini
wataungana kumpigia kura na kuhakikisha tuzo inarudi Bongo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment