Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la
Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye
Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi
wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati)
ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Balozi Lennarth Hjelmaker,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana
na Mjumbe wa Bodi ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye
Hoteli ya Kunduchi Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi
na Mabingwa wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri
wa kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment