KILI TOUR SASA NI ZAMU YA WAKAZI WA KAHAMA JUMAMOSI HII,SI YA KUKOSA
Baada ya kufanya yake jijini Mwanza sasa ni
zamu ya wakazi wa Kahama kuishuhudia Kilimanjaro Music Tour 2014. Kahama
tunawaleta kwako Shilole, Christian Bella, Madee, Mwana FA, AY, Rich
Mavoko, Jambo Squad na Weusi. Ni katika uwanja wa halmashauri ya Kahama
Jumamosi ya June 7 kwa kiingilio cha Sh 2500 Tu huku mlangoni ukipata
Kili ya bure.
No comments:
Post a Comment