‘Sensei’ Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio
mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo
mbalimbali vya
usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu
atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na
Mahmoud Ahmad, Arusha).
No comments:
Post a Comment