Pages

Friday, August 22, 2014

HUYU NDIYE KINARA WA ULIPUAJI MABOMU ARUSHA,JESHI LA POLISI LAHAIDI ZAWADI NONO KWA ATAKAYETOA TAARIFA ZAKE KAMILI

‘Sensei’ Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya 
 
usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha).

No comments:

Post a Comment