Pages

Friday, August 22, 2014

SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE PAMOJA LEO‏

DSC_0274
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.....Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi.
DSC_0099
Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0076
Joniko Flower na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani).
DSC_0139
Aneth Kushaba AK 47 akipiga vocal jukwaani.
DSC_0163
Kutunza inaruhusiwa hukatazwi ni motisha kwa wanamuziki kama inavyoonekana pichani mdau baada ya kuguswa na burudani ya Skylight Band.
 
DSC_0383
Muddy Bawaziri naye alichomoa bulungutu lake la mijihela na kwenda kuwatunza waimbaji wa Skylight Band.
DSC_0213
Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu HONEYYYY..! Babu wa kizungu naye alikuja kusebeneka na Skylight Band kama anayoonekana pichani.
DSC_0465
Mashabiki wakichizika na Skylight Band.
DSC_0468
Mmoja wa shabiki wa Skylight Band aliyeamua kuvua shati na kubaki na vesti baada ya kukolewa na burudani.
DSC_0476
Aneth Kushaba AK (aliyeipa mgongo camera) akionyeshana ufundi na shabiki wa Skylight Band kwenye dancing floor Ijumaa iliyopita ndani kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0485
Shabiki akicheza huku akiwa ameshikilia vinywaji vyake baridi hii yote ni kuepuka kuikosa raha ya muziki kwenye dancing floor na kuamua kuwa karibu na vinywaji vyake.
DSC_0404
Kikuweli hawa jamaa pichani ni #Balsaa na hii yote ni kutokana na muziki safi ulioenda shule unaopigwa na Skylight Band. #FullKusebeka
DSC_0424
DSC_0315
Hashim Donode akipiga vocal huku jukwaani akisindikizwa na Aneth Kushaba AK 47 na Joniko Flower.
DSC_0083
Mary Lucos akiwaduarisha mashabiki wa Skylight Band na mambo ya pwani.
DSC_0300
Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiduarika Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0079
Mary Lucos akizungusha nyonga...!
DSC_0247
Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band ikiendelea kula bata Thai Village Ijumaa iliyopita.
DSC_0229
I’m looking for my johnny....I’m looking for my honey…ya ya ya....Si mwingine ni Le Manager her self Aneth Kushaba AK47 akiimba wimbo wa Yemi Alade unaokubalika na wengi katika chati za muziki hivi sasa.
DSC_0198
Sam Mapenzi akiwajibika jukwaani zile fleva zote za Ki-nigeria utazipata hapo, tukutane baadae ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0443
Mdau wa Skylight Band, Oscar "Birthday Boy" alisheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na marafiki zake kama inavyoonekana pichani.
DSC_0447
Birthday Boy Oscar akigubikwa na cake usoni mwake kama ishara ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na marafiki zake huku akila bata na Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0449
DSC_0452
Birthday Boy Oscar baada ya kumwagiwa maji na kupakwa cake usoni na marafiki zake.
DSC_0210
He Yo Peace & Love.....Model Neema Mbuya akipozi kupata Ukodak.
DSC_0324
Mary Lucos akipata Ukodak na Mwanafamilia wa Skylight Band Gerald Kilimo.
DSC_0226
Mary Lucos akipata Ukoda na mashabiki wake.
DSC_0221
Digna Mbepera naye alipata Ukodak na mashabiki.
DSC_0206
Aneth Kushaba AK47 akipata Ukodak na shabiki wa Skylight Band.
DSC_0327
Anaitwa Digna Mbepera na TOPHY Bass wakishow love.
DSC_0045
Le Big Boss Rais wa #WanaManyoya Justine Ndege(kulia) akipata ukodak na mdau wa Skylight Band anayefahamika kwa jina la Machapta.
DSC_0091
Wadau wetu wa ukweli kabisa ndani Skylight Band kwenye kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita nao waliwakilisha na Ukodak.
DSC_0507
Couples iliyobamba usiku huo si wengine ni Mary Lucos na Vasmo Onesmo #MahabaNiuweMie
DSC_0510
Digna Mbepera hakupenda kukosa Ukodak huu na ku-join na Couples hii kwa ajili ya picha ya kumbukumbu.
DSC_0512

No comments:

Post a Comment