Diamond platnumz katika ururasa wake wa facebook amepost
post ambayo ina mashiko sana kwa madada wa kibongo wanaojiona wao wako juu sana
wanaona wakiza watapoteza mvuto kwa watu diamond akaamua kufunguka kiivi.
Picha aliyopost Diamond |
Kwa mtazamo wangu mimi naona kuzaa hakumfanyi mtu azeeke au
awe wa kizamani, ni tabia tu ya mtu mwenyewe.... na ndiomaana dada zetu kama
Beyonce, Nancy sumary, Kim Kardashian na kadharika wana watoto na still
wanafanya vizuri.....Au we mtazamo wako ukoje?
No comments:
Post a Comment