HOT NEWSS::AJALI MBAYA YA NADIA NA BASI KUBWA YATOKEA MKOANI MBEYA
Gari aina ya Toyota Nadia likiwa limeharibika vibaya baada
ya kugongana na basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola
leo asubuhi mkoani Mbeya.
Basi la kubeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola baada ya
kugongana na Nadia.
AJALI hii imetokea asubuhi hii katika eneo la maghorofani
mkoani Mbeya baada ya basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca
Cola kugongana na gari aina ya Toyota Nadia. Katika ajali hiyo, Nadia
imeharibika vibaya kwa mbele.chanzo Gpl
No comments:
Post a Comment