Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 17, 2014

MRISHO NGASSA AFUNGA NDOA YA PILI NA LADHIA JIJINI DAR ..Tazama picha

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa baada ya kufunga ndoa na Ladhia Mngazija Tegeta mjini Dar es Salaam leo. Hii ni ndoa ya pili kwa mchezaji huyo wa Yanga SC, ambaye anaoa baada ya kuachana na mkewe wa awali.









No comments:

Post a Comment