Mamia ya wanawake wameandamana katika mitaa ya Nairobi
kutaka haki ya wanawake kuvaa nguo wanazotaka. Maandamano haya yametokana na
kushambuliwa kwa mwanamke mmoja wiki iliyopita kwa madai kuwa alivaa sketi
fupi.
RAIS SAMIA AFUNGUA UCHUMI WA NCHI KWA KUKARIBISHA WAWEKEZAJI NCHINI-ULEGA
-
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Disemba 22,2024
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa kwa mwaka 2024, mitaji ya
uwekezaji wa kimataifa iliyoing...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment