PICHA ZA WANAWAKE WALIPOANDAMANA KENYA WAKITAKA HAKI YA KUVAA NGUO WANAZOTAKA
Mamia ya wanawake wameandamana katika mitaa ya Nairobi
kutaka haki ya wanawake kuvaa nguo wanazotaka. Maandamano haya yametokana na
kushambuliwa kwa mwanamke mmoja wiki iliyopita kwa madai kuwa alivaa sketi
fupi.
No comments:
Post a Comment