Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo
ametangaza kustaafu mapema kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa
kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza waziri mkuu mpya wa
usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa waziri wa usalama Joseph
Ole Lenku.
Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana
Kimaiyo alikubali kustaafu mapema kutoka kwa majukumu yake.
No comments:
Post a Comment