Pages

Tuesday, December 2, 2014

Mkuu wa polisi Kenya ajiuzulu

Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo ametangaza kustaafu mapema kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza waziri mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa waziri wa usalama Joseph Ole Lenku.

Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu mapema kutoka kwa majukumu yake.

No comments:

Post a Comment