Pages

Monday, December 15, 2014

SOUTH AFRICA WATWAA TAJI LA MISS WORLD,MATUKIO YAKO HAPA..

Miss World 2014,Rolene Strauss akiwa mwenye furaha kubwa mara baada ya kutwaa taji hilo jioni hii katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition  Centre nchini Uingereza.
Megan Young akimvisha taji la Miss World 2014 Rolene Strauss kwenye kilele cha sherehe hizo zilizofanyika ExCel London Exhibition and Convention Centre nchini Uingereza.
Miss World 2014,Rolene Strauss bade ya kuvishwa tag lake  akita knew picha ya pamoja na mshindi wa pili Edina Kulcsar na mshindi wa tatu Elizabeth Safrit [R]


Winner Rolene Strauss blows a kiss.
 Mwakilishi wa Tanzania Happiness Watimanywa (bottom right) akiwa kwenye kilele cha sherehe hizo zilizofanyika ExCel London Exhibition center
Rolene Strauss, Idah Nguma na Daniela Alvarez Reyes wakimpa hongera Miss Sweden Olivia Asplund kwa kushinda swimwear fashion section katika fainali hizo

Maeya Nonthawan "Miss Thailand" ndie aliyepata kura nyingi za people's choice award, zilizokuwa zikipigiwa kura kupitia mobile phone app
Washiriki wa Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika jumapili jijini London.


No comments:

Post a Comment