Dansa grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo akiwa
na Aunt Ezekiel.
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo
amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi
umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii
umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa
watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye
tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.
No comments:
Post a Comment