Pages

Saturday, January 17, 2015

RAIS WA EQUATORIAL GUINEA ANUNUA TIKETI 40,000 ZA AFCON 2015 KWA AJILI YA MASHABIKI



Rais wa  amelipia tiketi 40,000 ili mashabiki wa soka wahudhurie kombe la mataifa ya Afrika linalofanyika nchini mwake.
Nchi hiyo ilichukua nafasi ya Morocco iliyokuwa iwe mwenyeji na kuna wasiwasi kuwa mechi hizo zitakosa wahudhuriaji. Tiketi hizo zitagawanywa kwenye miji minNe ya Malabo, Bata, Ebebiyin na Mongomo ambako michezo itafanyika.
Jumla ya tiketi hizo ni Euro 30,000. Michuano hiyo itaanza Jumamosi hii hadi February 8.

No comments:

Post a Comment