Hiki ndo ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu
kumuua mke wangu na mtoto!!!!
Imebidi my wife Lisa Karl Fickenscher afunguke baada ya
false story about her!
Naomba niweke clear about interview ya u heard aliyonifanyia
soudy brown.....its true nimeumwa mda mrefu nilikua mtu wa hosp na kanisani tuu
kumuomba Mungu anipe uzima! Nilijifungua vbaya then kuna mistakes zilifanyika
wkt wa kujifungua zkaniletea matatzo! As usual cc wanawake tunakutana na meng
wkt wa mimba na kujifungua! sitaki hata kukumbuka! ni kweli mtu wa karibu wa
mabeste alijaribu kuniua mm na mtoto wangu!! Sitapenda kumtaja coz tulisham
samehe!! Alicho kifanya huyo mtu alifungua nati za gari yangu
akazilegeza...alitoa break za gari na alijaribu kututengenezea ajali ya
kugongwa na roli! Thank God mtoto nlikua nimemuweka kwenye car seat amefunga
mkanda na mm nilifunga mkanda....so nilipoona roli linatufata nilijitahid
kulikwepa nikaenda kugonga ukuta.....so mm na mtoto tukapona tulihis ni gari
tuu imezngua ila badae kuna mtu wa karibu alituambia ni flani aliyefanya na
tulipomchunguza tulijua ni kweli mabeste alipo m face na evidence alikiri kweli
na akaomba msamaha so sisi tukaendelea na life yetu!!! Inauma na sitak
kukumbuka coz aliyefanya hivyo cjawai kumkosea kitu wala mabeste hajawai
kumkosea!! Ila si kama alivyozungumza soudy brown kua nimerogwa!! Na
aliponiuliza nimepigwa kipapai I thought ana maanisha ajali thats why
nikaitikia!! Inawezekana soudy amepokea taarifa ambazo c sahihi na wkt
ananiuliza akili yangu ili lenga ajali na kuumwa kwa mda mrefu nikajibu kama
nilivyojibu ila badae tena naskia ni habari za kurogwa duh!! Thats a false
news.
No comments:
Post a Comment