Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen Wasira
ameamua kumuona mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ili aanze
kumtengenezea suti zake.
Waziri Wasira akijaribu kurekebisha suti yake iliyokosewa
kufungwa vifungo na kuzua mjadala mitandaoni.Wasira huku mmoja wa watangazaji akisema kuwa iwapo akikubaliwa, atajitolea kuwa wabunifu wa suti zake za mitoko ili jambo hilo lisijitokeze tena.
Mhe. Wasiara akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
Kanisa la Kisabato kwenye Uwanja wa Taifa, Dar huku koti la suti yake likiwa
limekosewa kufungwa vifungo.
Kwa kuamua kumuona Sheria Ngowi, Mhe. Wasira atakuwa amepata
mti shamba wa tatizo hilo lililotawala mitandao ya kijamii hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment