Kim Kardashian na Kanye West
Mke wa msanii Kanye West nchini Marekani mwana mitindo Kim
Kardashian West amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi
ulimwenguni yeye hujikojolea katika suruali zake za ndani zinazozuia mikojo.
''Mimi hujikojolea kila mara,ni janga kwa kweli'',.huwa
hazina mwanya wa kutosha kuniwezesha kukojoa alisema mwanamke huyo
maarufu
wakati wa mahojiano na jarida la Love ambapo baadaye alipigwa picha akiwa uchi.
Hatahivyo dadaake Kardashian, Kourtney naye alijotokeza na
kusema si Kim pekee anayejikojolea hata yeye pia.
Kim: ''Kourtney alikuwa amezidisha tabia hiyo''Ninakumbuka
tulikuwa katika hoteli ya Delano mjini Miami -nadhani hawataturuhusu tena
kwenda katika hoteli hiyo.
Je,ushawahi kujikojolea katika suruali yako ya ndani?.kwa
maoni yako basi ingia katika mtandao wetu wa facebook katika bbcswahili.
No comments:
Post a Comment