Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 10, 2015

MOTO MKUBWA UMEZUKA KWENYE JENGO LILILOPO MTAA WA JAMHURI NA MOSQUE JIJINI DAR

Moto uliozuka mapema leo katika nyumba moja iliyopo kati ya mtaa wa Jamhuri na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa ambazo bado haijaulikana thamani yake na kutokana na mashuhuda waliokuwepo wakati moto huo ukianza kuwaka wanafikiri moto huo huenda umesababishwa na hitilafu ya umeme lakini msemaji kutoka kikosi cha zima moto amesema chanzo kamili cha moto huo bado hakijajulikana.
Wasamalia wakiliondosha gari lililokua karibu na jengo hilo.
Kikosi cha zimamoto na Jeshi la Polisi wakiwa eneo la tukio. Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment