Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 13, 2015

NAY WA MITEGO AZUNGUMZIA KIUNDANI KUHUSU WIMBO WAKE ALIOFANYA NA MKALI WA NIGERIA

HitMaker wa Akadumba The True Boy Nay Wamitego Amefunguka Kuhusu Wimbo wake Mpya ambao Amefanya na Msanii Mkali Toka Nigeria Ambao umeshakamilika Audio yake na Sasa anahesabu siku za Kufanya Video ya Wimbo huo ambao amesema utakuwa wa Kimataifa.
Akiongea na Kuluti Mc ambaye ni mwandishi wa mtandao wa africanmisheblog Nay amesema kuwa tayari Audio Imeshakamilika na kutokana na Ukubwa wa Gharama Za Collabo hiyo ambayo Mpaka sasa amehesabu Shilingi za Kitanzania Milioni 60 



Amepanga Kwenda Kushut Video Hiyo South Africa na kama haitakuwa hivyo Basi atamsafirisha Director Kelvin Bosco Toka Kenya Hadi South Africa kufanya Video hiyo.
Katika Mengi aliyoyazungumza Nay una haki ya kuyasikiliza yote hapa Chini ambapo pia ameweka Wazi jinsi anavyofurahia Ndoa yake ambayo kwa imempa Mtoto.

No comments:

Post a Comment