skip to main |
skip to sidebar
PICHA 6 ZA MSANII MAARUFU ODAMA (JENNIFER KYAKA) AKIWA NDANI YA TBC KUZUNGUMZIA MOVIE YAKE KALI YA JADA ITAKAYOTOKA 19.02.2015
Odama Akipozi Kwenye studio za TBC leo alipokuwa akihojiwa kwenye ulimwengu wa filamu
JENNIFER KYAKA ODAMA akiwa kwenye kipindi cha tv cha tbc
akiongelea filami yake ya jada ambacho kitaruka jumamos saa nne ni katika
harakati za kuambia watazamaji.kwamba sasa jada ipo karibu kutoka
Odama akipozi kwenye moja ya vifaa vya Tbc Leo Alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha ulimwengu wa Filamu
Furahaaa tele kwa mwanadada Odama mara baada ya mahojiano ndani ya TBC
No comments:
Post a Comment