Pages

Thursday, March 26, 2015

TAZAMA PICHA NA VIDEO::Snoop Dogg atua kwenye mieleka akiwa na Hulk Hogan!

hogan-snoop
Snoop Dogg aka SnoopMania alitinga kwenye ulingo wa mieleka ya WWE Jumatatu hii.
Rapper huyo aliungana na mcheza mieleka mkongwe, Hulk Hogan ili kuchuana na Curtis ‘AxelMania’Axel ambaye alikuwa akimtania kwenye mitandao ya kijamii.

No comments:

Post a Comment