riyamaallyAjali
iliowapata ndugu zetu maeneo ya MWIDU mkowa wa pwani kilometa 50
kutoka morogoro mjini mpaka MWIDU kwa walivotwambia amevunjika mwenzetu
mguu Pole sana kwao Asanteni kwa duwa na sala tumewaacha na mdogo wa
Marehemu #ABDUBONGE ameshaita gari linawafata na kuwa leta morogoro
mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU
mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU
Ajali iliowapata ndugu zetu maeneo ya MWIDU mkowa wa pwani kilometa 50 kutoka morogoro mjini mpaka MWIDU kwa walivotwambia amevunjika mwenzetu mguu Pole sana kwao Asanteni kwa duwa na sala tumewaacha na mdogo wa Marehemu #ABDUBONGE ameshaita gari linawafata na kuwa leta morogoro mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU
No comments:
Post a Comment