Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya
kuoengelea hatma ya mgomo wao.
Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya.
Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.
Umati ukiwa ndani ya kituo cha mabasi cha Ubungo
Kamanda wa Kanda
Maalum ya Dar es Salaam,
Kamishna Suleiman Kova, akiwatuliza madereva waliogoma na kuwaahidi
kutatuliwa tatizo lao.
Polisi wakifanya
doria maeneo ya Ubungo kuangalia hali ilivyo barabarani.
Mabasi yakiwa
yameegeshwa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, Ubungo, jijini Dar, kufuatia madereva kufanya mgomo wakipinga
kubadilishiwa leseni na kutakiwa kwenda chuoni kabla ya kukabidhiwa leseni
hizo.
PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY /GPL.
No comments:
Post a Comment