Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 29, 2015

ALI KIBA ATOA KIPANDE CHA VIDEO YAKE MPYA INAYOTOKA LEO

Ali KibaJumatatu ya Leo June 29 2015 ndio itakua siku rasmi kwa video mpya ya ‘Chekecha’ ya Ali Kiba kuanza kuonekana kwenye TV ambapo TV ya kwanza kuplay hiyo video ni TRACE TV, TV ya burudani kutokea Ufaransa ambayo inaongoza kwa kutazamwa Afrika sasa hivi.
Wakati tukisubiria hiyo kesho kuitazama, kuna hizi sekunde 15 kazitanguliza Ali Kiba kutoka kwenye hiyo video.

No comments:

Post a Comment