Watu wanaoishi katika mji wenye hoteli ya kitalii ya Sousse nchini Tunisia wamefanya maandamano kupinga kitendo cha kuuwawa watu 38, wengi wao wakiwa watalii na mtu mwenye silaha siku ya Ijumaa.
Kundi lingine la watu lilikusanyika katika hoteli hiyo iliyoshambuliwa na mshambuliaji mwanaume mwenye silaha, ili kupaza sauti zao za kupinga kitendo hicho.
Maandamano hayo katika mji huo yalikuwa yamejawa na majonzi kutokana na mauaji hayo, ya watu ambayo miongoni mwao wapo raia wa Uingereza 15.
Mtuhumiwa aliyefanya shambulizi hilo kwa kutumia silaha aina ya AK 47 akiokelewa na polisi wa nchini Tunisia
No comments:
Post a Comment