Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 11, 2015

Hawa ndio wagombea watatu walio chaguliwa na NEC kinyang'anyiro cha urais CCM

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni John Magufuli, Asharose Migoro na Amina Salum Ali.

No comments:

Post a Comment