Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 9, 2015

PICHA YA MTANGAZAJI JOYCE KIRIA ILIYOZUA UTATA MTANDAONI

Baada ya mihangaiko... alhamdulilah ndio nnacho weza kusema maana ni mahaba makubwa mno kwangu na familia yangu haya mnayonionyesha wanamabadiliko tokea nianze mchakato wangu wa kumsupport mume wangu @kilewo2015 kwa upande wa kumtafutia fedha za kumuwezesha kuzungukia jimbo lake la Mwanga.

Mijifweza kama hivi mpaka nachanganyikiwa Mungu anipe nini tena
☺Wafwaaaaaaa
sasa we unaekaa huko kupiga mdomo unajitia kunisema endelea huchangii ila unaongea ongea tu kwasababu zako binafsi na roho mbaya yako kutopenda maendeleo wala mabadiliko endelea na fitna zako sisi tunasonga, ila jua kama wewe huchangii wapo wenzio tena kibao watanichangia so pita fastaaa


Ila mnaonisupport na kuniunga mkono kwa hali yoyote bila uhasama shukrani kwenu sina cha kuwalipa naomba tu Mungu awabariki na kuwazidishia pale mlipopunguza jamani. MBARIKIWE SANA

Kichambo nakijua nami ntawanyooshaaaaaa hii ni page yangu maumivu yakizidi meza dAWA

No comments:

Post a Comment