Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.
Wananchi Ntunduwaro wanufaika na Makaa ya Mawe
-
- Wajengewa barabara, Zahanati
- MILCOAL yatoa fursa za ajira
UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya
Ruanda wilay...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment